Ni kweli wameiba/wameiga style ya RAV4, lakini BB zikiwekwa gari hizi mbili halafu ukaambiwa uingie kwenye moja uondoke nayo moja kwa moja sijui kama utaondoka na RAV4 halafu ukiingia ndani ya cadillac esalade ndio watakumaliza kabisa!