kafunika mbaya akuna cha sippy mpango mzima wala sayona wala coca cola kila m2 ni azam cola ila tu zile malt zake zimenishindwa testi yake alafu zote ni full kemikali tu
sio kweli kuwa azam cola nzuri! ina sukari nyingi,sumu kibao,(presevative)Ushauri nunua blender tengeneza healthy natural juices wewe mwenyewe.Maisha haya unatakiwa kuwa mtumiaji mwenye upeo Dunia imekuwa mahali hatari!!
Mtanganyika.Nakubaliana na wewe kuhusu umuhimu wa brand kwenye biashara.Lakini kwa habari ya AZAM-Ngoja nikupe changamoto ya kufanya uchunguzi ni kwa jinsi gani brand hii inafahamika sasa hivi barani Africa.
Kaka labda nikupe brief kidogo ninachofanya, am venture capitalist, na naangalia next big business Africa nzima. Azam na fujo zake amefikia market share ya 4% only. hii ni namba ya IMF and world Bank, na niwe mkweli ni kwamba Azam ana lose pesa in many ways sababu ya market strategy zake. I wish akubali kuwapa "consultant" nafasi ili wamshauri sababu Azam ina chance ya kuwa the largest company in the world, lakini for now he is a small business.
cha yule mwenye best nite, pale best bite eti hakuna soda zingine zaidi ya sayona,inaboaga sana ukiagiza chips eti lazima na kasayona kwa pembeni no other vinywaji may be maji
kafunika mbaya akuna cha sippy mpango mzima wala sayona wala coca cola kila m2 ni azam cola ila tu zile malt zake zimenishindwa testi yake alafu zote ni full kemikali tu
2013 kwangu ni mwaka wa kupunguza kiwango cha sukari, chunvi na mafuta kwenye chakula na kuongeza kiasi cha maji, matunda na mboga kwenye vyakula vyangu.