Zuku kana Sio kufua wamefulia,wamekuja. Kwa mbwembwe sasa tumewaona Kama wababaishaji tu,hata Euro mmeshindwa kuonyesha?.Jamani anaelitaka mimi naliuza tena na package yake ya 60,000/=.nitafute tu kupitia nartons@yahoo.com.ni heri Tuvalu na DSTV
Jamani naombeni fundi mzuri wa kuniwekea dish la free???nimechoka na hivi ving`amuzi. Hawa zuku hakuna lolote,unalipia 40,000 kwa mwezi kuangalia news na movies za kawaida tu bila mpira??kwanza kinachonishangaza ukipiga customer care ni wakenya wapo tuu, ina maana watanzania hata customer care hatuwezi??hivi hii mikataba inasainiwa na nani??haina maslahi na nchi????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.