Jamani angalieni Bunge

MARUMA J

Member
Jun 10, 2011
48
9
Kuna dada (mbunge) anaitwa Suzan Kiwanga anaongea mambo productive kwani sector ya elimu ya Tanzania imeoza hamna sera thamithi za kuinua elimu yetu
 
ka umeme ka Ngeleje lazima kawe hivyo! kasema waalimu wananyanyazwa na serikalina katoa rai kwamba CHADEMA wataendelea kuandamana pale ambano wataona serikali haitendi haki
 
SUZAN KIWANGA SUZAN- mwanamke mwanaharakati wa ukweli ninayemfahamu, ndiye aliyenipokea kwenye MWENDELEZO WA harakati zangu 2004 somewhere na kunipa mwongozo wa wapi nianzie hadi leo nifumbapo macho nakumbuka siku ile, nimemtazama bungeni leo anamshukia ...spika, katika hoja ya Elimu anasema serikali inadhalilisha usomi, ni kweli amedokeza kuwa posho za kujiimu za wanafunzi wa elimu ya juu ni ishara ya kuwa serikali haina dhati ya kuwasaidia wanafunzi hawa, na tena inawafanya waingie kwenye mitego na kuambukizwa ukimwi, akasema kuwa enzi za mwalimu hali haikua hivi, MARA Spika anamkatisha na kusema kipindi hicho wanafunzi walikuwa wachachee, Mama Suzan anamjibu kuwa ''ni kweli walikuwa wachache lakini hata pesa zilikuwa chache, kipindi hicho nchi haikua na wawekezaji kama sasa''....hahahahaaaaa Na wewe uwe mbunge wa jimbo sasa!!!! kiwango chako si cha viti maalum!!
 
Amemjibu vizuri sanaaaaa......kama amemwambia hivyo

Kwa kweli ameonyesha ni jinsi gani swala la elimu linavyochukuliwa kwa mzaha,kila wakati sera za elimu zimekuwa za majaribio hapajawahi kuwa na nia ya dhati kuwa na mpango mkakati wa muda mrefu kuboresha sekta ya elimu ya muda mrefu nchi in sera za elimu kutokana na matakwa ya world bank,USAID,na IMF inatuumiza sana kama nchi ,lakini Susan ni mfano wa wanawake wajasiri sana wazo lako zuri kipindi kijacho agombee jimbo
 
That is a good start from that lady (Suzan)
 
Endelea ku2juza, huku kwe2 umeme unarud saa 5 ucku na unakatika saa 12 asubuhi, mpaka 2some magazet
 
Endelea kutujuza wengine bado tuko maofisini na kwa bahati mbaya hauna tv channel ya TZ live kwa net wala radio inayoungana na bunge asante.
 
Back
Top Bottom