akapimwe akili huyo
ila uswahilini kuna mambo, walijuaje kama alikuwa na kiburudisho bata? Walikuwa wanamchungulia nini?
@ wife umewasilisha vema!...izo hazikua GENYE ni mganga kaagiza.!
Niaje pacha? Uko poa?
pacha ni poa...si unaona wife kaja na uzi wa bata...uswahilini bana...
Was just thinking on the same line. ukizingatia Bata halina kelele kubwa. hata kama lingekua linapiga kelele wangujuaje labda alikua analichinja.
May be kweli ilikua Chabo
Sasa BAGAH , ikawaje mtu wangu hata usinitonye kama mambo yalikunyookea kwa Vivy?@ wife umewasilisha vema!...izo hazikua GENYE ni mganga kaagiza.!
Sasa BAGAH , ikawaje mtu wangu hata usinitonye kama mambo yalikunyookea kwa Vivy?
Umesahau debe nililokugongea hadi mishipa ya neck ikanisimama? Au unataka upokwe some marks ?
Judgement braza kwanza pole kwakua mpweke baada ya kupotelewa na mpenzio...hope uko mawindoni,na nnavyokujua utakamata fasta...
nakumbuka sana juhudi zako bra...vip leo kama vip tukutane pale play-time?nikutonye jambo!
Yaani nyie siku mbili tu za JF-OFFLINE zimewachanganya hata kusalimiana imekuwa shida? haya wewe BAGAH, Nicas Mtei, na BADILI TABIA! Habari za kula ya lazima? na we mamaa vivian umemmisije BAGAH? but all in all [COLOR=8000080]HUYO JAMAA ANASTAHIKI BAN KUBWA YA MVUA NYINGI SANA SEGEREA! AMETHUBUTU KUNAJISI KITOWEO CHA SIKUKUU!? NIPENI UHAKIMU WA MUDA JAMANI NIMSHUGHULIKIE, KHAA?? [/COLOR]