Performance ya hiizi Telecom companies na hasa Air tell imeshuka dramatically hasa baada ya out sourcing. IT depertment imekuwa out sourced kwenda IBM, network na Operation wameeenda Nokia-simens na Custormer care wamepelekwa Spanco! Yaani imekuwa balaa hamna uwajibikaji na wafanyakazi hawana hamu na kazi tena kila kitu kimekuwa bora liende. Wasipo angalia hii kampuni itakufa kifo cha mende.