jaman mh

We hizi status weka FB kwenye type yako!!uandishi gani huu hueleweki ulizani ukiandika hivi tutajua wewe ni wa mjini wakati mburula!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hata fb sio for mburulas sema ina umaarufu kuliko jf...ila hata wewe ulipata ujanja fb au hi5 then now unaponda...sio kosa lako ubongo wako mwembamba haukumbuki ulikotoka.
 
pumbaff! andika lugha iliyonyooka!
this aint no fbook nor tweeter!
 

Lugha gani sasa waileta humu?
 
Yaani hizi sijui lugha gani, hakika wa tz hawajui kusoma wala kuandiaka!
 
Jamani aliyeelewa naomba anieleweshe, nina hamu ya kuchangia ila sielewi atiii
 
Jamani aliyeelewa naomba anieleweshe, nina hamu ya kuchangia ila sielewi atiii

...ngoja nahisi hawa vijana wamekulia vietnam,ngoja nitafute mkalimani nikifanikiwa nitaleta tafsiri sahihi...
 
Wabongo kwa kukosoa wenzenu lol,,....kipi kisichoeleweka hapo?
 
utakoma na huo aundishish wako, na bado wataendelea kula hiyo pusupusu mpaka ujue kuandika. Ila sahau kuolewa, yaani mwanume anayeoa mtu aliyezaa ananikera kupita meelezo, yaani kubikiri ukose na hata kuzalisha uwe wa pili? aaaah!
kaka umenibariki sana leo!
 
Kwa uandishi wako huo wataacha kweli kukuchezea??? si bure ulivyosema uko katika dilema... maana unaonekana hujatulia....haraka haraka utadhani unaogopa kufumaniwa??

Tulia bnti, eleza vizuri jambo lako ili upate msaada kuendana na unachohitaji otherwise...
 

^^
Samahani Mkuu! Unamjua Heaven on earth ?
Aliniambiaga eti ID zenu huwa zinafanana kama bendera ya Taifa.
^^
 
Last edited by a moderator:
Unatakiwa kuwa makini kuliko ulivyo sasa, kumbuka ulimwacha kwa sababu ya ulevi japo kwa sasa unaita unywaji kwa kuwa unamhitaji, huwezi jua yeye alipitia ugumu kiasi gani kwa sababu yako wewe kumwacha. Unaamini vipi kama kweli kaacha pombe? unaamini vipi kama kweli anarudi kwako kwa sababu ya kukupenda? unaamini vipi kama atampenda mwanao?
Dhamira ya mtu huijua mwenyewe mhusika, mtu yeyote akiamua anaweza kujifanyisha kwa namna yoyote ili atimize azma yake hivyo kuwa makini.
Nakushauri aubaki single umlee mwanao au ikiwezekana ishi na baba mtoto wako kwani mtoto anahitaji malezi ya baba pia. Sikushauri kabisa kumrudia huyo mwanaume kwani sidhani anakuja kwako kwa lengo unalodhani wewe. Inawezekana japo si rahisi mwanaume kuwa na mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwingine chunga usije zalishwa tena.
Kama humtaki baba mtoto ni bora ukawa single mpaka utakapopata mwanaume mwingine tofauti na hao wawili kuliko kurudia mwanaume mlioachana kabla ya kupata mtoto.
Kama anakurudia kwa dhati basi yaliyomkuta ni mazito hivyo peleleza alikopita baada ya kuachana na wewe, chukua tahadhari kabla ya hatari ila kama umezimika kwake basi jitoe muhanga kwa lolote litakalotokea maana siku zote maisha ni chaguzi. Utaishi utakavyoishi kwa sababu umechagua hivyo, uchaguzi unaweza kuwa mzuri ama mbaya ambapo matokeo (matunda) ya uchaguzi inategemea na uchaguzi ulivyokua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…