Jackson matthew
Senior Member
- Jun 26, 2026
- 182
- 512
Mleta uzi umevuta cha wapi ? Arusha, Morogoro au Mara ?Jana nimetoka kazini nimechoka nikakuta mke wangu kaniandalia maji ya kuoga na kanipelekea bafuni.baada ya msosi nilimwomba mke wangu anisindikize bafuni tukaoge wote.
Jaman raha namsugua mgongo naye pia ananisugua huku tukifanya ya kwetu.......
Unaweza kufikiri unaona mapenzi raha, kumbe unapenda kuhudumiwa tu.Jana nimetoka kazini nimechoka nikakuta mke wangu kaniandalia maji ya kuoga na kanipelekea bafuni.baada ya msosi nilimwomba mke wangu anisindikize bafuni tukaoge wote.
Jaman raha namsugua mgongo naye pia ananisugua huku tukifanya ya kwetu.......
N nn hii.?huku tukifanya ya kwetu.......