Mbona Logo unakuja kiujanja ujanja,KIMTINDO WA UGANI UGANI. Karibuni hapa JF, lakini usiwe na jazba hapa utajifunza mengi na kufaidi mengi pia!!!!!!!!! KARIBU!!!Naingia kwa furaha, ukumbini nakaribia.
Nimechungulia kwa karaha, nikiwa nje nilikaribia.
Sikuweza kula raha, nilipotaka kukoment sikuruhusiwa.
Lakini leo naingia, chochote naweza kuandika!
Kuna matatizo yalitokea, ofisini kwetu kuzozana.
Mwenzetu alifumaniwa, akifungua jamvi la JF.
Makamba alitupa, bila huruma kumwachisha ajira.
Iliniuma sana, ila leo nimeamua kuingia mwenyewe!
Nafurahia kitu kimoja, busara na hekima za JF.
Watu wenye uwezo wa kufikiri, na kujadili hoja mbalimbali.
Ukiwa na hasira utacheka, hasa ukiingia jukwaa na Jokes,
JF ni msaada hata kwa watafuta ajira!
Chamwisho wapendwa, naombeni mnipokee.
Nimo ndani ya nyumba, mengi nitayaeleza.
Vigogo wote wa serikali, hapa ndio kwao.
Nashukru kwa maana, wote wanaafahamu.
Mnipokeeeeeeeee Logoooooooooooooooooo naingiaaaaaaaaaaaaa.
Habari gani logo, utokako hawajambo?
karibu kwa vigogo, walo njiani piga kumbo.
Umeingia kwa mikogo, JF kuna mambo,
Jamani logo karibu, jamvini tujimwage.
Ulikuwa mla chabo, chondechonde ni hatari,
Karaha kwenye tobo, kwa raha jivinjari,
Masaki hata mabibo, Jamii Forum inasitiri,
Logo nakutakia heri, umjue mode invisibo.
Nakukaribisha jamvini, majukwaa tembelea,
Maria Roza yu majonzini, El-toro hajamgea,
Lile kufuli la chumbani, Pakajimmy kalichomelea,
Invisibo lete funguo, Logo atinge chumbani.
Naingia kwa furaha, ukumbini nakaribia.
Nimechungulia kwa karaha, nikiwa nje nilikaribia.
Sikuweza kula raha, nilipotaka kukoment sikuruhusiwa.
Lakini leo naingia, chochote naweza kuandika!
Kuna matatizo yalitokea, ofisini kwetu kuzozana.
Mwenzetu alifumaniwa, akifungua jamvi la JF.
Makamba alitupa, bila huruma kumwachisha ajira.
Iliniuma sana, ila leo nimeamua kuingia mwenyewe!
Nafurahia kitu kimoja, busara na hekima za JF.
Watu wenye uwezo wa kufikiri, na kujadili hoja mbalimbali.
Ukiwa na hasira utacheka, hasa ukiingia jukwaa na Jokes,
JF ni msaada hata kwa watafuta ajira!
Chamwisho wapendwa, naombeni mnipokee.
Nimo ndani ya nyumba, mengi nitayaeleza.
Vigogo wote wa serikali, hapa ndio kwao.
Nashukru kwa maana, wote wanaafahamu.
Mnipokeeeeeeeee Logoooooooooooooooooo naingiaaaaaaaaaaaaa.
Mbona Logo unakuja kiujanja ujanja,KIMTINDO WA UGHANI UGHANI. Karibuni hapa JF, lakini usiwe na jazba hapa utajifunza mengi na kufaidi mengi pia!!!!!!!!! KARIBU!!!Naingia kwa furaha, ukumbini nakaribia.
Nimechungulia kwa karaha, nikiwa nje nilikaribia.
Sikuweza kula raha, nilipotaka kukoment sikuruhusiwa.
Lakini leo naingia, chochote naweza kuandika!
Kuna matatizo yalitokea, ofisini kwetu kuzozana.
Mwenzetu alifumaniwa, akifungua jamvi la JF.
Makamba alitupa, bila huruma kumwachisha ajira.
Iliniuma sana, ila leo nimeamua kuingia mwenyewe!
Nafurahia kitu kimoja, busara na hekima za JF.
Watu wenye uwezo wa kufikiri, na kujadili hoja mbalimbali.
Ukiwa na hasira utacheka, hasa ukiingia jukwaa na Jokes,
JF ni msaada hata kwa watafuta ajira!
Chamwisho wapendwa, naombeni mnipokee.
Nimo ndani ya nyumba, mengi nitayaeleza.
Vigogo wote wa serikali, hapa ndio kwao.
Nashukru kwa maana, wote wanaafahamu.
Mnipokeeeeeeeee Logoooooooooooooooooo naingiaaaaaaaaaaaaa.
Asante sana, kwa kusasambua,
Mwenyewe nimefurahu sana, nashukru kwa ukaribisho wewe ubarikiwe
Mbona Logo unakuja kiujanja ujanja,KIMTINDO WA UGANI UGANI. Karibuni hapa JF, lakini usiwe na jazba hapa utajifunza mengi na kufaidi mengi pia!!!!!!!!! KARIBU!!!
Mbona Logo unakuja kiujanja ujanja,KIMTINDO WA UGHANI UGHANI. Karibuni hapa JF, lakini usiwe na jazba hapa utajifunza mengi na kufaidi mengi pia!!!!!!!!! KARIBU!!!
Mbona Logo unakuja kiujanja ujanja,KIMTINDO WA UGANI UGANI. Karibuni hapa JF, lakini usiwe na jazba hapa utajifunza mengi na kufaidi mengi pia!!!!!!!!! KARIBU!!!
Nguli Jabali asante, tena nashukru.
Broda jina kali, ingawa lina nikera!