bahaticaro
Senior Member
- Jul 20, 2012
- 100
- 31
Iv jaman haya makapun yanayotangaza kazi yana nia ya kuajiri watu au wanatangaza tu ili waonekane nao wanatoa ajira? haiwezekan mtu ana qualification tangu 2009 anaaply asipate kaz wakati wengine wanamaliza chuo hata wiki mbil haziishi mtu kashapata kazi tena anafanya leo kampun hii kesho keshahamia pengine:sleepy: