Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 604
- 979
Tunalipwa kishika uchumba naNdio maana Kuna MTU analala na madaftari na penseli na kichongeo na mkebe halafu anaita waandishi wa habari na kujigamba
Mkuu mm ni mkulimaUnafanya kazi ofisi gani mkuu??
Ushenzi wa kutembea na wake za watu nilishaukataa, lkn kama ningekuwa na interest ningewafyeka kuliko maelezoKweli mkuu siku izi tunaoa kupunguza makali ya maisha hayo tunayajua sema hamna namna.
Kwa hiyo unaolewa lini kaka Yangu?
unauzia ofisi zipi?Mkuu mm ni mkulima
Hainihusu mkuu ila hofu yangu ni kuwa hata mm yatanikumbaWakigegedwa wewe inakuhusu nini mind ur business kwani wanajigegeda wenyewe au na wanaume?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hainihusu mkuu ila hofu yangu ni kuwa hata mm yatanikumba
Siku izi hawasemi ata kama wameolewa ndoa imekuwa fashion.Ushenzi wa kutembea na wake za watu nilishaukataa, lkn kama ningekuwa na interest ningewafyeka kuliko maelezo
Stereo pale TemekeKwa hiyo unaolewa lini kaka Yangu?
Wewe umeolewa!?
Ni shida mkuuSiku izi hawasemi ata kama wameolewa ndoa imekuwa fashion.
Mkuu mbona unamwaga povu saana!?
Mkuu mbona unamwaga povu saana!?