Mm c chadema.mm c mwanaharakati. mm c mwanasiasa.mm c mfanyakazi watajuana wenyewe.mm ni chama tawala chama dume haya sasa wamekufikia ww chama dume na tawala.kila mtu atafikiwa kwa mda wake na kila jiwe itageuzwa.WAPI POLEPOLE WAPI BUSHIRI WALIKUWA NA KIBURI LEO WOTE TUNAPIGA KELELE