Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Kada machachari wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Jamal Mangu, leo Juni 29, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Nyang’hwale, lililopo wilayani Nyang’hwale, mkoa wa Geita.