Ally Kombo JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 11,429 Reaction score 2,654 Jun 3, 2015 #41 Nyenyere said: Vichwa vya watanzania vimejaa udini. Na huo udini umepotosha fikra na ufahamu wa wengi. Hapo Malinzi amempasha mdini aliyejaribu kumshawishi apige kura kwa misingi hiyo. Maslahi ya nchi kwanza ndio hoja kuu ya rais Malinzi. Sasa udini wake uko wapi? Click to expand... ......... dua yake mbaya imempata Sepp Blatter ...... anatoka kiulaiini ! .... Nyenyere, maana alienda kuchakuwa Mla Rushwa., Jamal Malinzi :becky: Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nyenyere said: Vichwa vya watanzania vimejaa udini. Na huo udini umepotosha fikra na ufahamu wa wengi. Hapo Malinzi amempasha mdini aliyejaribu kumshawishi apige kura kwa misingi hiyo. Maslahi ya nchi kwanza ndio hoja kuu ya rais Malinzi. Sasa udini wake uko wapi? Click to expand... ......... dua yake mbaya imempata Sepp Blatter ...... anatoka kiulaiini ! .... Nyenyere, maana alienda kuchakuwa Mla Rushwa., Jamal Malinzi :becky: