PreGE2025 Jamal Kassim amechukua fomu ya Ubunge Jimbo la Magomeni visiwani Zanzibar

PreGE2025 Jamal Kassim amechukua fomu ya Ubunge Jimbo la Magomeni visiwani Zanzibar

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango, Jamal Kassim Ali amechukua fomu ya Ubunge Jimbo la Magomeni visiwani Zanzibar, akiwa na dhamira ya kutetea kiti chake hicho cha ubunge kwa mara ya pili.

Zoezi la uchukuaji wa fomu za kugombea nafasi mbalimbali ndani ya CCM limeanza Juni 28, 2025 na linaendelea katika mikoa yote nchini, huku wagombea mbalimbali wakiendelea kujitokeza kueleza dhamira zao za kugombea uongozi ndani ya chama hicho.
1751200675690.png
 
Back
Top Bottom