kdrama_masters
Member
- Oct 16, 2020
- 92
- 196
Kwa wapenzi wengi wa story book nadha mlighadhabika sana kipind,Kijana mwenye Sauti ya dhahabu Mtiga Abdallah alipofutwa kazi Wasafi Fm.
Mimi nilkua moja ya watu nilio mind sana na nilikua nampinga sana msimuliaji mpya Jamaa April maarufu kama Proffesor.Ila leo namuomba radhi hyu kijana maana ameipeleka stoey book nezt level.Amekua akisimulia vitu ambavyo watu wengi hawakuwahi hata kuvickia au kujua kama vinawezekana.Story zake zinaelimisha,kufurahisha na kusisimua infact jamaa ana content ambazo ni masterpiece.
Au wenzangu nyie mnamuonaje proffesor.Kwngu mimi kwa sasa Jamaal is the best Story teller nnae mfahamu