Wakilimsomitz
Senior Member
- Jul 1, 2023
- 131
- 208
- Thread starter
-
- #21
anataka afaulu four form then asome hadi four six. akimaliza hapo akifanikiwa kufaulu kwenda chuo atasoma kupitia online. malengo yake anataka apate degree anata asomee comb ya biashara ili imsaidie kwenye biashara zakeAnataka Cheti cha Form Four?Ana Umri gani,Ana Malengo Gani?
Mwambie akiwa na nia jambo lolote linawezekanaHabari ya asubuhi wakuu. kuna rafiki angu tulisoma nae kuanzia darasa la saba tukafaulu then tukasoma wote hadi form 2. mwamba akaacha japo alifaulu now ameekewa umuhimu wa elimu ananiomba ushauri vipi wakuu. nimshauri asome qt au akaze kwenye biashara?
[emoji457] umeongea point mkuu.masomo ya biashara na sanaa ni muhimu kwa tz. maana ndo yanayotuhusu kwa nchi kama tz[emoji120]Kama unasoma ili uendeleze shughuli zako au uongeze uelewa wa ulimwengu nenda haraka ila kama unasoma ili upate ajira baadae hapo hujajua unachokitaka.
Elimu ni muhimu sana sema wabongo hawataki kuamini, endapo una shughuli ya kufanya unaamini hiyo ada haitakupiga chenga nenda. Uzuri muda ni mfupi wa kusoma ni kitendo cha kuwa serious na masomo basi.
Na usisome vitu vigumu kama Physics sijui Mathematics actually elimu ya bongo kwa sayansi ni kupotezeana sana muda na kujaribujaribu vitu vingi bila concentration ya vitu vichache muhimu, mwishowe unatoka ukiwa master of none. Labda kama wewe ni technician ila kama ni mjasiriamali soma masomo ya sanaa na biashara.
Nimesoma upuuzi mwingi kwenye sayansi na sijawahi kuutumia na sitokaa niutumie. Tofauti na watu wanavyodhani, nchi haina wajasiriamali hii labda ina watu wengi wanaodhani ni wajasiriamali. Ila sasa tumefundishwa hadi Extraction of Aluminium wakati hakuna ore yake Tanzania sasa sijui walijua tutahamia Urusi, Reproduction in flowering plants na matakataka kibao. Najutia muda wangu niliotumia kujifunza sehemu za uzazi za ua la tulip. Pumbaf mliotunga syllabus
kweli mkuu. watoto wanafaulu sasa hivi ahaaa ni jambo jemaKwa jinsi wanavyofaulu saiv hata wazazi wetu wanataman wakasome upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Janjajanja HKL tunadunda tu kwenye ardhi ya Mola [emoji23]Haya bana [emoji38][emoji38][emoji38]. Hata mimi nataka kusoma iyo QT sijaridhika na hii four yangu ya kuunga. Natamani sana kuwa mhadhiri (lecturer) na daktari wa wanawake.
WeweeJanjajanja HKL tunadunda tu kwenye ardhi ya Mola [emoji23]
😂😂😂Kama unasoma ili uendeleze shughuli zako au uongeze uelewa wa ulimwengu nenda haraka ila kama unasoma ili upate ajira baadae hapo hujajua unachokitaka.
Elimu ni muhimu sana sema wabongo hawataki kuamini, endapo una shughuli ya kufanya unaamini hiyo ada haitakupiga chenga nenda. Uzuri muda ni mfupi wa kusoma ni kitendo cha kuwa serious na masomo basi.
Na usisome vitu vigumu kama Physics sijui Mathematics actually elimu ya bongo kwa sayansi ni kupotezeana sana muda na kujaribujaribu vitu vingi bila concentration ya vitu vichache muhimu, mwishowe unatoka ukiwa master of none. Labda kama wewe ni technician ila kama ni mjasiriamali soma masomo ya sanaa na biashara.
Nimesoma upuuzi mwingi kwenye sayansi na sijawahi kuutumia na sitokaa niutumie. Tofauti na watu wanavyodhani, nchi haina wajasiriamali hii labda ina watu wengi wanaodhani ni wajasiriamali. Ila sasa tumefundishwa hadi Extraction of Aluminium wakati hakuna ore yake Tanzania sasa sijui walijua tutahamia Urusi, Reproduction in flowering plants na matakataka kibao. Najutia muda wangu niliotumia kujifunza sehemu za uzazi za ua la tulip. Pumbaf mliotunga syllabus
Waliosema elimu ni bahari hawakukosea qt inamruhusu kufanya biashara vizuri tu cha msingi kama ametamani kuweka vyeti vyake sawa ni jambo jema muda mwingine watu wanakosa fursa kwa kukosa vyeti sahihi lakini hatuijui kesho yetu. Kuna faida kubwa sana kwenye kusoma anaekwambia kusoma hakuna faida huyo mchunguze vizuri hata maisha yake unakuta hayana tofauti na ya mchawi. Kama kaamua kusoma mwenyewe ww mpe moyo apambane miaka yake kadhaa awe na vyeti vyake. Mwenye nacho si sawa na asienacho. Nimeona mofano kadhaa ya watu wanakosa fursa kwakua hawana vyeti vya level fulani ya elimu mfano mzuri ni waalimu wakuu wa shule zetu za serikali hauna dergree kaa chonjoo mwenye degree aje aongoze japo uongozi ni mtu mwenyewe ila elimu itakusaidia kuaminika zaidi. Hata kwenye siasa watu wataangalia hadi elimu yako uko vyema ule teuzi angalia kina nikki joketi elimu ziliwasaidia pia kusogea ngazi moja. Ni mtazamo wangu tu.Habari ya asubuhi wakuu. kuna rafiki angu tulisoma nae kuanzia darasa la saba tukafaulu then tukasoma wote hadi form 2. mwamba akaacha japo alifaulu now ameekewa umuhimu wa elimu ananiomba ushauri vipi wakuu. nimshauri asome qt au akaze kwenye biashara?
Cha msingi kujua nn unataka na ukakitilia mkazo mambo mengi tumefunzwa alafu leo hayapo hata kidogo imagine unanifundisha namba za kirumi kweli kirumi mm nakitumia wapi sasa leo 😂😂😂😂Kama unasoma ili uendeleze shughuli zako au uongeze uelewa wa ulimwengu nenda haraka ila kama unasoma ili upate ajira baadae hapo hujajua unachokitaka.
Elimu ni muhimu sana sema wabongo hawataki kuamini, endapo una shughuli ya kufanya unaamini hiyo ada haitakupiga chenga nenda. Uzuri muda ni mfupi wa kusoma ni kitendo cha kuwa serious na masomo basi.
Na usisome vitu vigumu kama Physics sijui Mathematics actually elimu ya bongo kwa sayansi ni kupotezeana sana muda na kujaribujaribu vitu vingi bila concentration ya vitu vichache muhimu, mwishowe unatoka ukiwa master of none. Labda kama wewe ni technician ila kama ni mjasiriamali soma masomo ya sanaa na biashara.
Nimesoma upuuzi mwingi kwenye sayansi na sijawahi kuutumia na sitokaa niutumie. Tofauti na watu wanavyodhani, nchi haina wajasiriamali hii labda ina watu wengi wanaodhani ni wajasiriamali. Ila sasa tumefundishwa hadi Extraction of Aluminium wakati hakuna ore yake Tanzania sasa sijui walijua tutahamia Urusi, Reproduction in flowering plants na matakataka kibao. Najutia muda wangu niliotumia kujifunza sehemu za uzazi za ua la tulip. Pumbaf mliotunga syllabus
mh sijui kama wameifuta na watakua wamefanya jambo la hovyo sana cha msingi ungeenda kwenye taasisi wanazotoa hayo mafunzo watakupa muongozoupo sahihi mkuu,, nimeona video youtube. wanasema qt wameifuta unaweza nisaidia nipate ukweli mkuu🙏
Nikweli imefutwa mkuu,ninao ushahidi.pambana kurudia mtihani wa drs la 7 ili uende moja kwa mojaupo sahihi mkuu,, nimeona video youtube. wanasema qt wameifuta unaweza nisaidia nipate ukweli mkuu[emoji120]
We jamaa ni muungo Kwamba aluminum hii inayopatika Kwa wingi ardhi hafu ore yake isipatikane tzKama unasoma ili uendeleze shughuli zako au uongeze uelewa wa ulimwengu nenda haraka ila kama unasoma ili upate ajira baadae hapo hujajua unachokitaka.