Wakilimsomitz
Senior Member
- Jul 1, 2023
- 134
- 208
Mwambie atapoteza pesa muda nguvu zake atafute kazi ya kufanyaHabari ya asubuhi wakuu. kuna rafiki angu tulisoma nae kuanzia darasa la saba tukafaulu then tukasoma wote hadi form 2. mwamba akaacha japo alifaulu now ameekewa umuhimu wa elimu ananiomba ushauri vipi wakuu. nimshauri asome qt au akaze kwenye biashara?
Sawa mkuu. unaweza nipa hoja kwanini atapoteza muda pesa na nguvu?Mwambie atapoteza pesa muda nguvu zake atafute kazi ya kufanya
Mkuu Sema ni wewe ndo unataka kusoma QT. Usione aibu hakuna anayekujua humu.Habari ya asubuhi wakuu. kuna rafiki angu tulisoma nae kuanzia darasa la saba tukafaulu then tukasoma wote hadi form 2. mwamba akaacha japo alifaulu now ameekewa umuhimu wa elimu ananiomba ushauri vipi wakuu. nimshauri asome qt au akaze kwenye biashara?
Mkuu Sema ni wewe ndo unataka kusoma QT. Usione aibu hakuna anayekujua humu.
Sauh'waah?!
....hahahah sio wewe mkuuHabari ya asubuhi wakuu. kuna rafiki angu tulisoma nae kuanzia darasa la saba tukafaulu then tukasoma wote hadi form 2. mwamba akaacha japo alifaulu now ameekewa umuhimu wa elimu ananiomba ushauri vipi wakuu. nimshauri asome qt au akaze kwenye biashara?
siyo mimi mkuu....hahahah sio wewe mkuu
Haya bana 😆😆😆. Hata mimi nataka kusoma iyo QT sijaridhika na hii four yangu ya kuunga. Natamani sana kuwa mhadhiri (lecturer) na daktari wa wanawake.mshauri mwamba asome au?
Dk. wa wanawake?Haya bana. Hata mimi nataka kusoma iyo QT sijaridhika na hii four yangu ya kuunga. Natamani sana kuwa mhadhiri (lecturer) na daktari wa wanawake.
...sema nini kama biashara ina lipa akaze Mkuu, Saizi ajira ni kujiajiri~¤mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe ~asije sota na kitabu miaka ikaenda akaikosa miamala🔥🔥🔥siyo mimi mkuu
Mwambie asome tu!! mara nyingi qt ni jioni.hivyo atakuwa na muda wa kufanya biashara yake.Habari ya asubuhi wakuu. kuna rafiki angu tulisoma nae kuanzia darasa la saba tukafaulu then tukasoma wote hadi form 2. mwamba akaacha japo alifaulu now ameekewa umuhimu wa elimu ananiomba ushauri vipi wakuu. nimshauri asome qt au akaze kwenye biashara?
NakaziaMwambie asome tu!! mara nyingi qt ni jioni.hivyo atakuwa na muda wa kufanya biashara yake.
Mkuu Sema ni wewe ndo unataka kusoma QT. Usione aibu hakuna anayekujua humu.
Sauh'waah?!
Nashukuru kwa ushauri wako...sema nini kama biashara ina lipa akaze Mkuu, Saizi ajira ni kujiajiri~¤mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe ~asije sota na kitabu miaka ikaenda akaikosa miamala
Nashukuru kwa ushauri wako mkuuYupo sahihi. QT wanasoma wanaojitambua, elimu ni muhimu. Kuna ndugu yangu ni mfanyabuashara alirudi QT, baadaye akafanya 5-6 kwa mwaka mmoja, then akapata diploma ya public relations.
Sasa hivi anafanya biashara zake China, India, Dubai na Singapore. Elimu ina umuhimu wake sema asiache 'side hustle'.
Yap,asome elimu Ina nafasi yake,asijegeuka kama kina vilaza msukumu,wanaochukia na kutukana wasomi,kisa alikimbia umande.Yupo sahihi. QT wanasoma wanaojitambua, elimu ni muhimu. Kuna ndugu yangu ni mfanyabiashara alirudi QT, baadaye akafanya 5-6 kwa mwaka mmoja, then akapata diploma ya public relations.
Sasa hivi anafanya biashara zake China, India, Dubai na Singapore. Elimu ina umuhimu wake sema asiache 'side hustle'.
Anataka Cheti cha Form Four? Ana Umri gani, Ana Malengo Gani?Mwambie atapoteza pesa muda nguvu zake atafute kazi ya kufanya
Hapa karibu na Ukonga Magereza ipo ukitoka mjini ipo rightHabari ya asubuhi wakuu. kuna rafiki angu tulisoma nae kuanzia darasa la saba tukafaulu then tukasoma wote hadi form 2. mwamba akaacha japo alifaulu now ameekewa umuhimu wa elimu ananiomba ushauri vipi wakuu. nimshauri asome qt au akaze kwenye biashara?