Jamaa nouma!!

Jamaa nouma!!

saleh sule

Member
Joined
Dec 25, 2011
Posts
47
Reaction score
8
Ilikua ndan ya bus la mkoan jamaa mmoja alikua amekaa pemben ya msichana mrembo akaanza kumtongoza mara dada akaanza kucharuka yule jamaa akasema nakuuliza umejamba? Akasema jaman namuuliza kajamb anaanza kupayuka
 
HII KALI BABA, yaani self defence au ant mipayuko.
 
Hahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa;
Ndio dawa ya vidada vibishi!!!
 
Back
Top Bottom