Jamaa ni nini

Jasmine_

Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
21
Reaction score
2
siku hizi mimi naona neno la jamaa. inaonekana neno ya jamaa kuna maana mengi.

 
1. Amekwenda kuwatembelea ndugu, jamaa na marafiki. Hapa jamaa ina maana watu ambao una mahusiano nao ya kiukoo(mjomba, shangazi, mpwa, mtoto wa mjomba, mama mdogo n.k)
2. Yule jamaa ni mkrofi sana. Hapa jamaa inamaanisha kumrejelea mtu fulani, labda kwa kiingereza tungesema the 'guy'
3...Kuna nyingine tena? Sijui.
 
Jamaa ni sabuni inatengenezwa kenya.

Mtu yeyote usiyemjua jina ni jamaa
 

Bwana Bisansaba, asante sana kwa elezo lako.
sasa ninajua jamaa inamaana matatu. mao ni rafiki, mtu fulani, au watu ambao una mahusiano nao ya kiukoo.
 
Ndugu ni relative in English. Kuna close relative, kuna blood relative, nk

Hivyo mama, baba na ukoo hawa ni blood relative

Kuna mabinamu na wapwa nk hawa ni close relative

Kuna marafiki ambao uko nao karibu sana wanaweza kuwa ndugu pia - relatives
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…