Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
Hujajua tu wewe ukipanda wao watakushusha tu......umu JF watu wana HUSDA sana, mpka ughaibuni... du!!
Photoshop jamani acheni Uzushi huo Nyinyi mnamjuwa lakini huyu jamaa anaitwa nani katika dunia hii?Bill gates
Wewe tembo hata kama akikonda hawi mbu.Pesa haikai forever kwa mmoja, inazunguka