ingawa hiyo ni photo shop lakini n ya ukweli hayo. Utakuta watu wana pesa za kutanulia popote wanapopenda na kuishi kwenye majumba mazuri magari ndo usiseme. Jamani lakini kwao hata wewe mtu baki ukienda unaona aibu. Jamani jengeni makwenu nyie wenye pesa uwezo wa mtu unampima kuanzia kwao acheni umbulula wa kutanua wakati kwenu mabanda ya nguruwe