Jamaa kaliwa elfu 25 na mdada

Mzee usiwe unatuma ela kwa manzi kabla ujamkula utaumia Yani.

Kuna binti flani anasoma chuo flani kipo Dodoma ni private hafu ticha anatabia kama izo za kuomba ela ya kusukia hafu ndo muonane . Ila alikutana na mimi mpaka akaanza kunituka yani sababu. Mana nilimwambia nahitaji kula Tunda lako halisi ukiwa ujapaka make up Wala kusuka chele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wajinga ndio waliowao!!! hivi unaanzaje kutuma hela kwa kiumbe ambacho hata hujui jinsia yake.....mtachokolewa kimasihara nyieee....
 
Achana naye tu! Hiyo 25k ni ndogo sana tu. Cha msingi ujifunze mapenzi ya mtandaoni!

Mapenzi ya mtandaoni siyo ya kukurupukia. Yanahitaji umakini na akili kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ujinga usirudie tena utapigwa sana za uso, pesa na baada ya kuja na si vinginevyo
 
Moja wapo ya principal za mabaharia.. mwanamke hapewi hela kwa mfumo wa kumrushia.. mwanamke anapewa hela cash mkiwa face to face.. hapo hata kama ni tapeli utamgundua tu kwa macho..

Pia ukiliwa hela na ke.. kubali matokeo ya hasara.. maana ukisema ulazimishe umle utaliwa nyingi zaidi maana hata yeye atakuwa anajihami kama unamuwinda umle..

Ukiona kakuuzi sana lazima umkomoe.. tumia mtu mwingine unaemini ana swaga za kukubalika..huyo ndie akamle kwa niaba yako na ampige chini kumkomoa moyo wake kama alivyokukomoa wewe
 
Pole sana

Hiyo 25 samehe tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…