sisi ni marafiki akikubwa yeye nimekubwa mimi mkuuuSi useme ni wewe tu [emoji23][emoji23]
Ningekupa mbinu ila kwakua umemsingizia mwenzio sio wewe basi nitampa tactic huyo mwenzio akija sio wewe
Sent using itel nilioifunga barabendi
Mkuu umeandika nn hapasisi ni marafiki akikubwa yeye nimekubwa mimi mkuuu
Atoe 25,000 nyingine ya kusuka tena mchakato uanze upyaIgweeeeeeeeee,
Ndugu zangu kuna jamaaa angu mmoja kaliwa elfu 25000 na demu alimuomba asuke ili waonane,
Ndugu zangu jamaaa akapaona atapigwa hela tena akamwambia tutaonana nikirudi
Wakuuu jamaaa ananiuliza atumie mbinu gani amle au ampigie arudishe pesa zake
nakushukuru sana kwa ushauri nduguKuna vitu vingine vya kujitakia. Pale unapoombwa pesa ya kusukia inapaswa uulize kwani bila ya msuko mpya viungo vingine vingine havifanyi kazi?
Mwanamke anapoanza kukuwekea masharti ya malipo aidha ya moja kwa moja au ya visingizio vya uhitaji wa vitu vinavyotaka pesa ndio mkutane, tayari keshakuchukulia ni buzi lake hivyo hapo kuwa tayari kwa lolote.
Hiyo 25 ni ndogo mno. Kuna watu wanakata mpaka ticket za ndege lakini wasiambulie hata ukope, hivyo chukulia ni ajali kazini kama vile kununua nyanya mbovu tu kwenye fungu la nyanya nzima.