Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,393
Hata usipoenda kwa mganga ujizuia kutokutoa Mbegu zako kuna nguvu kubwa utapata ya kukusaidia katika kazi zakoKuna jamaa alienda kutafuta utajiri uko milimani aliekezwa na rafiki ake ambae walisoma wote sasa jamaa alivyo ona mwenzie tajiri nae akatamani akaelekezwa
Kufika kwa mganga pale mganga akampa mashariti mengi ila hayo yote aliyaweza ika bado moja ambalo halitakiwa kuingia kwenye iko chumba ambapo atamkuta mwanamke uchi ila hatikiwi kudindisha kabisa jamaa alijiamini akijua anatoboa
Bhna bhna akaingia humo ndani ile kumuona tu mjegeje ukainua pole pole yule mwanamke akawa kapotea kimazingira kumbe ile ilikuwa shart kwamba hatakiwi kujihusisha na wanawake kabisa maana uchawi wao pesa haipo kwa mwanamke jamaa alikosa utajili na sasaivi kawa masikini zaidi ya vile alivyo kuwa mwanzo
je ungekuwa wewe ungeweza?
Aha sema kweliiHata usipoenda kwa mganga ujizuia kutokutoa Mbegu zako kuna nguvu kubwa utapata ya kukusaidia katika kazi zako
Hongera sanaSiwezi tafuta utajiri mimi kwani babu yangu alishafanya hivyo kitambo , mimi nahitaji kufanya jambo langu jipya la kuweka recodi mpya kwenye ukoo wangu mkuu.
Hivyo mada hainihusu kiujumla.
Ndio akili yako ilipo ishiaLipia tangazo mkuu
Mwenzako kakuuliza ulitakiwa kujibu "ndiyo" au "hapana"Siwezi tafuta utajiri mimi kwani babu yangu alishafanya hivyo kitambo , mimi nahitaji kufanya jambo langu jipya la kuweka recodi mpya kwenye ukoo wangu mkuu.
Hivyo mada hainihusu kiujumla.
Sema kweliUkilala sebuleni kwa shemeji kama baiskeli kwa muda mrefu stori kama hizi lazima uwe nazo nyingi
Hisia naona alikutana na vitu vyakeKwahiyo na yeye alikubali hilo sharti?! Alikuwa hautaki utajiri alienda milimani kutalii
Kwani mimi kuwa mzaramo ni kifo?Mwenzako kakuuliza ulitakiwa kujibu "ndiyo" au "hapana"
Umekua Mzaramo?
Hivi upo sikuoni nowMwenzako kakuuliza ulitakiwa kujibu "ndiyo" au "hapana"
Umekua Mzaramo?
lipia tangazo ,huo mtihani mi nauwezaKuna jamaa alienda kutafuta utajiri uko milimani aliekezwa na rafiki ake ambae walisoma wote sasa jamaa alivyo ona mwenzie tajiri nae akatamani akaelekezwa
Kufika kwa mganga pale mganga akampa mashariti mengi ila hayo yote aliyaweza ika bado moja ambalo halitakiwa kuingia kwenye iko chumba ambapo atamkuta mwanamke uchi ila hatikiwi kudindisha kabisa jamaa alijiamini akijua anatoboa
Bhna bhna akaingia humo ndani ile kumuona tu mjegeje ukainua pole pole yule mwanamke akawa kapotea kimazingira kumbe ile ilikuwa shart kwamba hatakiwi kujihusisha na wanawake kabisa maana uchawi wao pesa haipo kwa mwanamke jamaa alikosa utajili na sasaivi kawa masikini zaidi ya vile alivyo kuwa mwanzo
je ungekuwa wewe ungeweza?
Aha sema kwelii