20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,263 Mar 17, 2015 #1 Jamaa kasoma tangazo Eti wanasema kumwona Dokta ni shilingi elfu 30. Anauliza Kwani Dokta anakuwa uchi au ?
Jamaa kasoma tangazo Eti wanasema kumwona Dokta ni shilingi elfu 30. Anauliza Kwani Dokta anakuwa uchi au ?
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,954 Reaction score 7,113 Mar 17, 2015 #2 Kwani ugonjwa wake unatibiwa kwa kuona uchi? Tangazo limeelekeza kumuona dr sio uchi.
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Mar 17, 2015 #3 sijaelewa
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Mar 17, 2015 #4 khaa....
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Mar 17, 2015 #5 Ha ....