Akienda timu nyingine deni linakuwa limelipwa?Write your reply...Atafute Timu Nyingine
Mpeni hela zake, aende.Write your reply...Atafute Timu Nyingine
Tunamkaribisha kwa mikono 2 Karibu MajimajiHuyu aende Tu majimaji
kama MO anavyoitumia simba kwenye biashara zakeUtopolo katimu flani cha hovyo sana, hata sijui mnakapendea nini, hao GSM nao matapeli tu wanawatumia kwa biashara wakiwachoka watawaacha hapo hamjiwezi.
Simba nguvu moja.