Jamaa anastahili medali.

Sifa nyingine hazifai. Zigo kama hilo linaweza kumvunja shingo, akashindwa kuwajibika vizuri.
 
Yeye mwenyewe ana mwili mkubwa. Ni vile tu itakuwa kambeba kwa muda mrefu.
 
Kwa jinsi alivyokunja sura dizaini kuna kitu anazuia kisitoke.
 
Mwangalie alivyobana midomo kama vile anatweta
 
wanaume tumeumbwa mateso mateso kuhangaika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…