kijiichake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2010
- 284
- 58
Jamaa mmoja kwa jina limenitoka kidogo mkazi wa kata ya holili custom wilaya ya rombo ambae asili yake ni kutoka Lindi, ame m baka mmbwa hadi mbwa huyo akafa, jamaa huyo alikutwa na majirani akiwa amevaa condom huku dushe lake likiwa limezama uchini mwa mbwa huyo, akaripotiwa kituo cha holili polis walipofika eneo la tukio wakapata mbwa kesha kufa kwa kujidiwa mapigo ya jamaa, hivyo wakampeleka kituoni na kumwandikia mashtaka, ambapo Mwenye mbwa alipo fika kituoni Hapo alimtaka mtuhumiwa amlipe mahari na pesa za garama za mazishi, alipo ulizwa unataka mahari kiasi gani akasema mila ya kichaga ni ng'ombe na Mbuzi pia aongeze na laki saba ya mazishi nitataka milioni Moja na laki mbili la sivyo wacha twende mahakani, alisikika baba huyo, hata hivyo mtuhumiwa hakuweza kutimiza masharti hayo hivyo bado yuko kizuizini, hata hivyo kutokana na tukio hilo kuleta gumzo Rombo na maeneo jirani ya nchi ya kenya, teyari mbwa amesha jina la heshima mtaani hapa badala ya kuitwa mbwa Sasa anaitwa shemeji.