Jamaa aliyenyang'anywa demu na Harmo Rapa licha ya kumgharamia kila kitu aenda studio kulia

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,940
19,130
Harmo Rapper yule msanii anayejifananisha na Harmonize yadaiwa alimnyanganya Demu presenta na DJ aitwae Msabato na jamaa huyo ameenda studio za EA radio kulalamika na kusema alimnunulia kila kitu na kumpangishia chumba lakini demu huyo ameondoka kwa dharau



Demu mwenyewe jamaa anadai alimtoa Arusha na kumleta Dar kisha kumpangishia chumba na kumpa fedha za saluni na mahitaji mengine

 
Yaan nyie bado hamjajua tu kuwa anayofanya huyo mwanamke na huyo jamaa kuwa ni maigizo...BLOOD POOOOOL....(kwa sauti ya Amrish Puri)
 
Back
Top Bottom