Jamaa akataliwa sababu kavaa condom.

faraday

Member
Nov 27, 2013
38
10
Habari za Asubuh wana jf. Mi nataka kufaham juu ya hili jambo. Jamaa kamtongoza House girl wao.H/g akakubal, pind jamaa alipotaka kugegeda akavaa CONDOM lakin dem akakataa kugegedwa kwa condom eti kwamba kondom za kisasa zina H.I.V VIRUS. Dem akataka agegedwe bila condom kwa kua dem ana muamin jamaa (mtoto wa boss wake). Je madai ya dem yana ukwel wowote??
 
kuna jamaa yangu alikataliwa nae akambiwa dini haitaki... jamaa kuchomeka mimba?
 
Back
Top Bottom