Jama msaada wenu khs operamini!

Jama msaada wenu khs operamini!

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Natumia nokia 2323c mwanzo nilikuwa na operamin nilikuwa nimedownload ikafika wakat iliacha kufunguka ila kwa sasa najaribu kudownload nyingne haitaki kabisa.
 
ikigoma inatoa ujumbe gani
 
ikigoma inatoa ujumbe gani

ya mwanzo ilikuwa hairespond chochote nikadelete kwa saiz ninapodowload inaniletea had sehem ya file kwamba lina ukubwa flan ila nikipiga ok kwajili ya kudownload hairespond hadi mwisho!
 
Jaribu kudownload hii hapa CLICK HERE download hiyo hiyo vsn 4.4
 
Back
Top Bottom