Jama msaada wenu antvirus ya kwenye pc yangu haitaki ku uptudate! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jama msaada wenu antvirus ya kwenye pc yangu haitaki ku uptudate!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by G spanner, Mar 4, 2012.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Natumia avast mara kwa mara inaniletea msg ya kuuptudate ila nikiicklick ili ianze haifanyi chochote inasema wait while initializing na hamna kinachoendelea msaada plz na nahisi hii laptop ishaingiliwa na virus msaada wenu plz! Nawasilisha
   
 2. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
 3. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Kama una pesa nunua kaspersky au eset nod32.
  Kama huna pesa tumia avira ya bure.
  Toa avast kwa kutumia revo uninstaller
   
 4. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Na mi naomba mnisaidie wataalam nina kaspersky nimeinstall kwenye computer yangu lakini nikiupdate inaenda mpaka 39%..inaishia hapo, niliacha masaa matano iko hapo hapo haisogei,nimejaribu ku-uninstall nikainstall upya lakini shida ni hiyo hiyo nifanyaje,msaada please wataalam.
   
Loading...