yaani hata kuandika neno "afya" imekuwa shida kiasi hiki
yaani hata kuandika neno "afya" imekuwa shida kiasi hiki
Kha..! hivi kumbe alikuwa anamaanisha "AFYA"
Mamndenyisijajua hata hiki kizazi kinakokwenda
fikiria huyo ni mwalimu
hivi hao wanafunzi watakuwaje?
Fanya mazoezi kuulinda mwili wako
Uwe unafanya editing ya unachoandika kabla ya kupost
Mwenyewe kaona yupo sahihi editing ya nini sasa? Lol!