jalada la Mkulo latua kwa Hoseah | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jalada la Mkulo latua kwa Hoseah

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, May 22, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  Mazingaumbwe yanaendelea ama watafanya kweli? ...naona ilimradi siku ziende na msharara uingie at the end of the day ....mtajaza

   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Haaahaaa! Mambo ya kiini macho haya...ngoja tuone movie hii itaishia vipi.
   
 3. fukunyuku

  fukunyuku Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  hii kweli movie, tena ya kihindi, stelling Sunil Shetty!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Karne hii ya Science na Technology, karne ya facebook na twitter, karne ya blogs na jamii forums bado utasikia 'jalada limefika' as if ni contaner la nguo!

  Naamini siko peke yangu kusema kama taifa tunatapungukiwa sana kama TAKUKURU itafutwa!.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  BINAFSI NAFANANISHA HOSEA NA KABURI.... yakishafika kwake ndio mwisho wa safari

  i am not expecting anything
   
Loading...