Huyu ana mzungu nadhani mmearekani kama sijakosea lakini pia yuko team ya upande wake aka kama salama jabir, nadhani hapo umeelewa. Hiyo ya binti wa aliyekuwa mkuu wa Kaya inajulikana japo huyo binti naye ana mume.
Hii ndio JF, hakuna asiyejulikana habari zake.