Jakaya Kikwete na Imelda Marcos wako Brazil kujivinjari kwa siku tano

Kampelekea mwigizaji wa tz wa zamani maximo tarifa za kifo Cha the great wao na kumwambia katoa ml.10 za ubani.
 
hana cha maana cha kufikiri kuleta hali ya maisha bora kwa kila mtanzania si kwa ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya wala ari zadi, nguvu zaidi na kasi zaidi. Hivyo walau awe Vasco da gama ili aje akumbukwe walau kwa hilo maana amelifanya kwa ari, nguvu na kasi mpya na sasa ameongeza ari, nguvu na kasi zaidi kabla hajamaliza kipindi chake cha urahisi
 

lugha gani umeandika hapa? unadhani uko facebook hapa? andika lugha inayoeleweka..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…