Jakaya Kikwete na Imelda Marcos wako Brazil kujivinjari kwa siku tano

Mkwereee anafaidi kweli atakua na la kusimulia wakati atakapostaafu kwakweli!

sometime elimu ya mke inasaidia kwenye ushauri. Mke akiwa kichwa maji na we punguwani matokeo ndo haya. Anajali kutanua zaidi badala ya kushughulikia matatizo ya uchumi nchini mwake.
 
[h=3]Vasco da Gama na Imelda Marcos wako Brazil[/h]

Vasco da Gama na Imelda Marcos wakishuka kwenye uwanja wa ndege wa Sao Paulo
Pamoja na kupigiwa kelele kuacha ziara zisizolingana na hali ya uchumi wetu, rais Jakaya Kikwete aka Vasco da Gama na mkewe Salma aka Imelda Marcos wako Brazil kujivinjari. Ameandamana na watu wangapi na wa aina gani? This is top secret. Kwanini deni la taifa lisiumke? Baada ya kuona nafuu ya Kanumba inapungua, ametafuta tukio jingine la kukwepa aibu kama kawa! Kweli yetu ni Danganyika! Anavyojipelekapeleka, hakuna hata rais mwenzake kumpokea! Ama kweli tumepata watawala baada ya kiongozi wetu Mwalimu Nyerere kututoka.

duuh huyu jk cjui ni vp yan xaxa iyo ndo kazi ilo mpeleka ikuuluu kuxafira xafiri ovyo like dat dah
hata haipendezi bna ulimbukeni 2 huo wa madaraka xaxa ana maanagan xaxa kama co 2 kupoteza hela pasipo 7bu hata co vzur bna ok bado 2 miaka yake cjui m3 a2toke bna 2me mchoka bna nukta.
 
Hivi ingekuwa Tanzania raisi wa nchi nyingine anakuja angepokelewa kwa syle hiyo? Mbona rais wetu anaonekana hathaminiwi kabisa huko, cheki jinsi alivyo hapo, yaani yupoyupo tu, hakuna cha zulia jekundu kama inavyokuwa huku wala ngoma za jadi za kumpokea. Sasa anajipendekeza huko kwa ajili ya nini kama anajua watu hawamtaki?

Mambo ya aibu sana hayo, inaelekea kama hana mwaliko rasmi hivi....kama amelazimsha au yuko kwenye ziara ya "Uvumbuzi."
 
Hivi ingekuwa Tanzania raisi wa nchi nyingine anakuja angepokelewa kwa syle hiyo? Mbona rais wetu anaonekana hathaminiwi kabisa huko, cheki jinsi alivyo hapo, yaani yupoyupo tu, hakuna cha zulia jekundu kama inavyokuwa huku wala ngoma za jadi za kumpokea. Sasa anajipendekeza huko kwa ajili ya nini kama anajua watu hawamtaki?

Unatakiwa ujithamini wewe mwenyewe ndiyo wengine wakuthamini pia! Hiyo ziara ya Brazil hakutakiwa kwenda kabisa! JK hana huruma kabisa na Taifa lake na haoni ni kwa jinsi gani wananchi wanataabika kwa ugumu wa maisha!! Hebu fikiri katika Marais wote wa Afrika hakuna hata mmoja aliyehudhuria isipokuwa yeye pekee
 
Nasemekana wanaotakiwa kuhudhuria iyo ishu ni mawaziri au wawakilishi wa sekta husika na sio maraisi ndio mana hakuna mapokezi rasmi.
Vasco kazamia.
Hivi ingekuwa Tanzania raisi wa nchi nyingine anakuja angepokelewa kwa syle hiyo? Mbona rais wetu anaonekana hathaminiwi kabisa huko, cheki jinsi alivyo hapo, yaani yupoyupo tu, hakuna cha zulia jekundu kama inavyokuwa huku wala ngoma za jadi za kumpokea. Sasa anajipendekeza huko kwa ajili ya nini kama anajua watu hawamtaki?
 
hebu andika lugha ya taifa, lol.

duuh huyu jk cjui ni vp yan xaxa iyo ndo kazi ilo mpeleka ikuuluu kuxafira xafiri ovyo like dat dah
hata haipendezi bna ulimbukeni 2 huo wa madaraka xaxa ana maanagan xaxa kama co 2 kupoteza hela pasipo 7bu hata co vzur bna ok bado 2 miaka yake cjui m3 a2toke bna 2me mchoka bna nukta.
 
hiyo pochi yanini jamani,
wenzie tunaweka nauli na kanga/leso kwa ajili ya dharura,
ina maana hawaamini hata hao wapambe wake,
haya ona hicho kiatu, mbona hivi tunavaa kwenye
uniform ya kwaya, hivi kweli una mahela yote tena hujayatolea jacho
unavaa hivyo, kweli kwenye miti hakunaga wajenzi.

Vasco da Gama na Imelda Marcos wako Brazil

Vasco da Gama na Imelda Marcos wakishuka kwenye uwanja wa ndege wa Sao Paulo
Pamoja na kupigiwa kelele kuacha ziara zisizolingana na hali ya uchumi wetu, rais Jakaya Kikwete aka Vasco da Gama na mkewe Salma aka Imelda Marcos wako Brazil kujivinjari. Ameandamana na watu wangapi na wa aina gani? This is top secret. Kwanini deni la taifa lisiumke? Baada ya kuona nafuu ya Kanumba inapungua, ametafuta tukio jingine la kukwepa aibu kama kawa! Kweli yetu ni Danganyika! Anavyojipelekapeleka, hakuna hata rais mwenzake kumpokea! Ama kweli tumepata watawala baada ya kiongozi wetu Mwalimu Nyerere kututoka.
 
...nimekaribia kuthibitisha kitu sasa.

Imekuwa kawaida sasa kila ukisikia TRA wamevuka lengo la makusanyo yao ya mwezi, siku chache baadae watu wanaibuka na matumizi ya kutisha kupitia ziara ambazo "tija yake" ina walakini.

Kwa hali hii deni la Taifa litaendelea kuongezeka na huduma za kijamii zitaendelea kuzorota.

Hata kama ziara hizi ziko kwenye bajeti, hivi katika hali hii ya sasa ya "Serikali kufilisika" kuna sababu kweli ya ziara za aina hii?

Mkulu anapaswa kuguswa na matatizo ya nchi yake na atuonee huruma, au anatukomoa?
 
Hivi ingekuwa Tanzania raisi wa nchi nyingine anakuja angepokelewa kwa syle hiyo? Mbona rais wetu anaonekana hathaminiwi kabisa huko, cheki jinsi alivyo hapo, yaani yupoyupo tu, hakuna cha zulia jekundu kama inavyokuwa huku wala ngoma za jadi za kumpokea. Sasa anajipendekeza huko kwa ajili ya nini kama anajua watu hawamtaki?

Usipo kubalika nyumbani ugenini je?
 
Huyo si mdosi ni waziri wa elimu na amari wa Zanzibar.Kwanza safari ya Brazil ni very risk na kwa hakika ni ni problem kwa Taifa na kaprove in Janga la Taifa (JK)
 
Eeh Mungu Tusaidie 2015 ifike haraka uyu mtu aondoke pale magogoni kwani anatutia aibu anapennda safari zisizokua na tija kwa taifa dhaifu kama hili na kua na rais mpenda starehe kama huyu ni hatari economically,JK Rais wetu mbona unakua kama sikio la kufa.....watanzania wanakuachia laana kuna mambo mengi yakufanya yanakukabili apa nyumbani ila ww kila kukicha ughaibuni na ukiwa dar ww kazi yako kwenda kwenye misiba na Kitchen Part na bagamoyo hutulii ofisini kushuhlikia kero zetu ndo mana unadharaulika na watendaji wanafanya watakavyo pliiz Badilika.

Una hasira!!!!!!!! Nasikia serikali imetangaza njaa, imesema imeshiwa pesa kaabisa, sasa hivi tupo rehani, sijui itakuwaje.
 
Back
Top Bottom