Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Jaji Joseph Warioba amezungumza kupitia Jamhuri TV ambapo amesema sasa hivi kuna uoga mkubwa sana wa kusema ukweli.
Anyooshe tu maelezo! haya yote yamesababishwa na kuwapa madaraka makubwa watu wenye uwezo mdogo wa kuongoza wengine.