Jaji Warioba anaishi kwa mlo wa CCM kwanini anaishambulia Serikali

Huwa siwasikilizi wazee aina ya Malecela, nchi inayumba wamekaa kimya halafu anasema ujinga huu? Huu ni ushenzi wa hali ya juu, mzee Malecela kaa na ccm yako, mwache Warioba na uzalendo wake
 
Haya maneno kuntu. Walimwambia Zitto na Kitila kuwa hawawezi kuwa nao ndani ya chama kama wanapingana na viongozi wao. Sasa iweje waje kumtetea warioba anayepingana na CCM? Huu kama sio unafiki ni nini?

Aende Ukawa aone kama kuna mtu atamsumbua tena.
kwa hiyo hii katiba ni ya ccm ama ya wananchi?
 
Sijawai kuona hii jamii ya malecelea mtu mwenye busara za baba yao wote ni hovyo, ni mtoto wa kufikia? kwanza Warioba haishi kwa posho za ccm bali za Serikali! Pili anachotetea Warioba ni maoni ya wananchna mtu mkweli ndivyo alivyo! Hataki kuunga mkono upuuzi ulisimamiwa na Sita na wababe wenzake wa ccm kuleta KATIBA yao.Sisi tunataka katiba ya Wananchi na sio ya CCM na Ishallah tutaipata tu!
 
Maneno kama haya yangeweza kuwa na maana kama yangeongelewa wakati wa kutafata uhuru kutoka kwa mkoloni. Idadi na weledi wa wananchi wengi ulikuwa mdogo sana. Soma historia za nchi zilizojikomboa kutoka kwa ukoloni wa mtu mweusi nyingin zimefanikiwa baada ya baadhi ya viongozi kuchoshwa au kushutwa na dhamira zao na kujiunga na waliowengi kutetea nchi yao kwa uzalendo. Ndicho Warioba anachofanya. The Saver
 
Last edited by a moderator:
Hvi kuna mjinga kama wewe MSALANI Lizaboni Simiyu Yetu Makonda Le Mutuz T2015CCM na vijana wote wa lumumba? Vijana msiokua na adabu inaonyesha hata hamuwajui baba zenu.

Naamini ukifuatilia malezi yao kutakuwa na matatizo aidha hawakupata malezi mazuri ya wazazi, au wamelelewa ktk mazingira 'magumu' mfano huyu Wiliam hebu fuatilieni maisha yake na tabia zake za sasa na anafanya nini mtagundua sio kosa lake!
 
ukweli siku hizi ni shambulizi dhidi ya serikali eeh? inshort aache ufinyu wa fikra ccm wenyewe wanaishi kwa kodi zetu wananchi,kwanini wanatupinga?
 
The Saver
W.malichela inaonekana elimu yako uliyoipata hgaikukusaidia kitu,huyu mzee ameamua kujitambua siyo kubakia ndiyo ndiyo kama mzee wako.by the way mafao na malipo yote anayolipwa warioba ni fedha za walipa kodi na siyo za ccm kama unavyofikiria na kujidanganya.shame on u
 
Last edited by a moderator:
- Warioba aende upinzani atafuta haki anazotaka, ndio maana mlimfukuza Zitto kakak mbona mnasahau mapema sana

Le Mutuz
kwani ndani ya ccm hamna upinzani soma nukuu hii'vita ni vikali lakini nitashinda' ,soma na hii 'kuna watu wanataka urais walipize kisasi' hawa ni viongozi wawili wakubwa wamesema.halafu unasema ccm salama
 
Warioba kila anapoongezeka umri Mungu anamwongezea hekima na busara; Anaota ndoto; ni nabii wa kweli wa Mungu. Tusimfananishe na mafisadi na wachumia tumbo wa CCM
 
- Wananchi wanataka kuona anakuwa kiongozi wa Upinzani sio kupinga CCM akiwa na Serikali hiyo hiyo haipo Dunia nzima, Zitto na Kitila mliwafukuza kwa nini?

Le Mutuz

Mbona Nyerere alikuwa anakipinga chama chake cha CCM waziwazi akiwa mstaafu? CCM ikifanya madudu ichekewe na kila kiongozi aliye ndani yake? Ukweli unauma William!
 
Kwani Viongozi wastaafu wanahudumiwa na CCM au serikali?

Kwani Viongozi hawa wanahudumiwa na fedha zinazotokana na Ada za uanachama wa CCM kila mwaka au kodi za wananchi bila ya kujalisha itikadi zao za vyama?

Jukumu la kuwatunza na kuwalinda viongozi wakuu wa kitaifa pamoja na wale wastaafu ni jukumu la serikali bila ya kujalisha ni chama gani kipo madarakani. Ni suala ambalo lipo kwa Mujibu wa Sheria.

Vinginevyo Nenda Kasome political service retirement benefit act kisha urudi kutufafanulia ni wapi inataja "CCM".


Sent from my iPhone using JamiiForums


Sasa wewe Mchambuzi siuvue hizo gamba mkuu.
Nimekupenda gafla kamanda
 
Last edited by a moderator:
Mzee Warioba kuna nafasi alinyimwa ndani ya CCM, mpaka leo hii hakipendi moyoni ingawa mdomoni anasema yeye ni ccm!!!
Binafsi namshauri atulie ale pension yake. Kazi aliyopewa imekwisha.

Kwa hiyo kutoa elimu kwa wananchi ni dhambi
 
The Saver
Kwa mtizamo wangu,ningesema kama waliomo ndani(walioba and co.) wameshtukia mipango miovu,je ninyi wanachuo mnaosoma kwa mkopo na kula mlo mmoja kwa siku
na hamna uhakika na ajira baada ya kumaliza masomo,kitu gani kinawasukuma kuleta vurugu na mabango yenu?
Au ni msongo wa mawazo unawafanya msitofautishe ni nani anapigania maslahi ya taifa na ni nani anatetea tumbo lake mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Mnahangaika na mtu anae kaa kwa mama wa kambo huku akiwa kamwacha mama ake akitaabika.
 
Back
Top Bottom