He was the finest CJ after Nyalali. Nyie mnaosema alikuwa wapi wakati akiwa CJ kukemea polisi nadhani hamjui chochote. You are just a bunch of sillies. Hawezi CJ akiwa bado madarakani akaanza kupambana na polisi!
Haiwezekani kabisa, ethics haziruhusu maana ataonekana anatake sides hasa kunapokuwapo kesi mbele yake. Majaji hawa wanatakiwa watembee on lonely paths. Si vizuri kwa jaji kuwa outspoken hasa dhidi ya law enforcers.
Tatizo langu kuu ni "UNAFIKI" wa hivi vizee,vikiwa kwenye system vipofu, vikitoka vinakuwa na macho matatu.Fikiria kama angekuwa amepewa "mfupa" baada ya kustaafu, kama angesema hayo ambayo amesema.