The Gentleman Pirate
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,476
- 949
Jaji Francis S.Mutungi aliyeteuliwa na Rais kuwa msajili wa vyama vya siasa akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Tendwa,ataapishwa leo,,,nitajitahidi kama nikiweza kuwawekea picha toka tukioni,,,