Jaji Mutungi atumia Upenyo kurejesha UKAWA bungeni!!

Nchi inaongozwa na watu wapuuzi sana hii

Nakubaliana na wewe 100% Mkuu, who is Helen Clark? Yaani wao Mzungu akiongea ndo wanamuona wa maana sana! Kwani hatujui kuwa Wazungu wanaifagilia CCM kimaslahi zaidi? Toka lini Wazungu wakataka katiba itakayolinda rasilimali zetu? wao wanachokitaka ni kutaga Katiba waliyoandikiwa kwa msaada wa Watu wa Marekani kwa maslahi ya wawekezaji!!!! Grrrrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…