Wakili wa kujitegemea Jaji Mstaafu Hillary Mkate atazikwa leo mchana kwenye makaburi ya Kinondoni.
Amewahi kuwa mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania. RIP Judge Mkate..
------------------------------- Update.
Rais Kikwete leo aliongoza waombolezaji nyumbani kwa marehemu.Wengine waliohudhuria leo ni Jaji Mkuu,Jaji Kiongozi,Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Majaji,Mawakili na wananchi wengine.