LAZIMA NISEME
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 240
- 267
COPY AND PASTE
Hakuna pingamizi hadi sasa la kisheria na wananchi na wanasiasa wanagubikwa na ushabiki zaidi kulikokufuata kanuni na sheria,Tume inamamlaka hadi sasa ya kuendeleza uchaguzi wa Tarehe 20 kwa sababu hadi muda huu hakuna mtu alietoa kitu cha kuzuia kisheria yaani order ya Mahakama,
Hadi sasa hakuna kesi yoyote ya uchaguzi uliopita iliyozifikia mahakama zetu labda DPP hajakamilisha ushahidi,akerwa na tabia ya watumishi wa Tume kugubikwa na ushabiki zaidi wakati wao ni marefarii na kusababisha hasara kubwa kwa Taifa
"Nilipata kuwa mwenyekiti wa NEC na makamo mwenyekiti wa ZEC hatukupata matatizo haya,Watu wafuate sheria na Taratibu zilizowekwa nasisitiza wananchi wajitokeze kwenda kupiga kura kwa amani na utulivu"JAji Mkuu wa Zanzibar Omari Othmani Makungu
Nikifikiria sana napata kizunguzungu hasa mipesa iliyotumika uchaguzi uliopita duu 4.7 billion na huu tena the same money daaah LAZIMA NISEME hatua za kinidhamu zichukuliwe kwa hasara hii baada ya uchaguzi March 20