Wachukue polisi wetu wawafunde namna ya kumalizana na majambazi sugu bila ya kupitia mahakama.
Jamaa wana porojo eti tuliwapeleka msituni watuonyeshe wenzao walipo, mara wakaibuka katika mashambulizi makali wale majambazi wenzao wakawaua na kujeruhi polisi kadhaa, case closed hakuna mahakama wala nini.