Asilimia kubwa ya Watanzania tunatumia lugha ya
Kiswahili.
Sheria kanuni na taratibu za Bunge zinatakiwa
Ziwe kwenye lugha ambayo asilimia
Kubwa ya watu wanaielewa.
Na pia ni kuendeleza mila yetu .
Ni kutunza lugha yetu maana ni utambulisho wetu .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.