Jaja ni nani?

LEVEL

Senior Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
195
Reaction score
51
nashindwa kushangaa kila nikisoma magazeti na nikisikiliza vyombo vingine vya habari wanavyo mpaisha mchezaji jaja wa yanga ivi anajua mpira kweli au mbwembwe tu za vyombo vya habari
 
Unaulza jaja ni nani? Jibu ni mtambo wa kufunga magoli unamilikiwa na club yenye hela zake ilyopo mitaa ya jangwani!
 
Hana kitu, hizo ni mbwembwe tu.
 
Jaja ni kuku wa kuchorwaa tu hawiki hatagi hadonoiii...just kwa matumizi ya maonyeshooo kama ngao ya jamii...
 
Michezo mi4 pointi 4 magoli 4 ya kushindA...asante
 
shemeji yake maskimo muuza matikiti wa sao paul
 
Kulipiza kisasi kwa migongo wazi ni droo.Timu ina majeruhi kibao bila ya kipa wa 1 na 2 mnatoa droo?Kweli Phiri nane mmepigwa 6 mkikutana na Phiri.
 
nashindwa kushangaa kila nikisoma magazeti na nikisikiliza vyombo vingine vya habari wanavyo mpaisha mchezaji jaja wa yanga ivi anajua mpira kweli au mbwembwe tu za vyombo vya habari

Umeuliza JAJA Ni Nani Na Nakujibu NI MZIBUA VYOO MAARUFU ktk MJI WA Copa Cabana. Je Una Lingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…