mbona habari haiendani na kichwa chake??
Sorry kwani unatakiwa uchangie title au content!? I think kaiweka title hivyo ili avutie watu waifungue thread yakeBora umeliona hilo. Nimeshangaa watu wanavyochangia wakati Heading na content haziendani!!
mbona habari haiendani na kichwa chake??
Rudi shule ukajifunzi uandishi. Jinsi ya kuoanisha heading na content ya habari yako. Sio unakurupuka kama mtoto wa shule ya msingi.
we acha tupunguze hasira za akina jairo kujilipa allowance za kufa mtu, tugeukie kwenye orodha ya matajiri vinara 40 kutoka Afrika waliotajwa na jarida la Forbes siku nne zilizopita. Jamaa kutoka Nigeria Bw. Aliko Dangote anaongoza, pia katika orodha hiyo yupo mKenya na mZimbabwe...hapo Zimbabwe mnajifunza nini Watanganyika wenzangu? Hakuna Mtanzania hata mmoja hata!....Wakati Jairo anaiba wewe chapa kazi tu,amini utaingia kwenye the Forbes
Unashangaa Mzimbabwe kuwemo katika orodha ya watu 40 matajiri barani Afrika?!