N Nsanzugwanko Member Joined Mar 28, 2015 Posts 66 Reaction score 15 Jul 19, 2015 #21 Erythrocyte said: mbona iko wazi sana , mtu aliyekuwa msaidizi wa kinana kulimwa na kamati ya maadili maana yake hafai , sema ndugu jairo kabla hajarudisha fomu atufafanulie ziliko zile hela alizochangisha . Click to expand... Iramba ni ya Nchemba,kijana wa mabadiliko ni vitendo,tunaimani nae na ndo hadhina ya ccm miaka ijayo
Erythrocyte said: mbona iko wazi sana , mtu aliyekuwa msaidizi wa kinana kulimwa na kamati ya maadili maana yake hafai , sema ndugu jairo kabla hajarudisha fomu atufafanulie ziliko zile hela alizochangisha . Click to expand... Iramba ni ya Nchemba,kijana wa mabadiliko ni vitendo,tunaimani nae na ndo hadhina ya ccm miaka ijayo
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,852 Reaction score 95,071 Jul 19, 2015 #22 Watu8 said: Huyu Mmenye misifa yake ya O Level umenyeni kaiendeleza hadi leo... Click to expand... Hahaaaa Mmenye Lazima Akatwe maana hamna namna nyingine.
Watu8 said: Huyu Mmenye misifa yake ya O Level umenyeni kaiendeleza hadi leo... Click to expand... Hahaaaa Mmenye Lazima Akatwe maana hamna namna nyingine.
Chakaza Platinum Member Joined Mar 10, 2007 Posts 41,009 Reaction score 74,643 Jul 19, 2015 #23 Nengonengo said: Mda si mrefu Mwigulu atatimkia ACT Click to expand... Mkuu muda wa uchukuaji fomu unayoyoma na wale 50 tulioambiwa wanaenda kipande ile bado ni utata mtupu.
Nengonengo said: Mda si mrefu Mwigulu atatimkia ACT Click to expand... Mkuu muda wa uchukuaji fomu unayoyoma na wale 50 tulioambiwa wanaenda kipande ile bado ni utata mtupu.